Tumezoeana sana eeh😂

You come to my place and knock the first time, I don't answer, you knock again n I still don't answer, but hakuna paddy, we ishia mi nikonap bana. Alafu kuna hawa watu mnazoeana wanachungulia hata kwa dirisha kuangalia kama uko wtf men! Sasa ukinipata niko juu ya merchandise utasema nini we mblaina😂 uinue simu tutrend hah? enda home, kaa kwako mf. Anyways ni rant tu, lakini si hata wewe hao wasee hukuboo.