Kwani 'bad boys' ni kina nani?
Watu mnapenda bad boys mnamaanisha nini? Juu nilikuwa nathani mnamaanisha nonchalant niggas lakini apparently si wao?đ I was talking with a girl here and she's telling me anapenda watu huvunja sheria na wanavuta bangi đđđ Ati thats her definition of a bad boy. So kama uko sober na unalipanga taxes ole wako. Edit : for context, I'm a woman.