Does the body count really matter?
During my campus days kuna time nimebag this baddie halafu sometime akiwa kwangu akaanza a conversation about body counts. Turn yake kufika nikamuuliza yake ni ngapi, shawtie akanishow ni 15 men na mimi ndio the 16th💀. Mind you she was my first bana.
Niliskia tu mood imeshuka , bedsitter yangu hainifurahishi anymore hadi nikaanza kufeel nikama nimelala Sabina Joy😂🥲
Anyway, swali kwenu, does someone’s body count really matter?😅